HII NDIO NDEGE ILIYO DONDOKA MBEYA ASUBUHI HII.... PICHA ZAIDI BAADAE TUMEWEKA WATER MARK KWA SABABU MAALUM
TAARIFA FUPI YA AJALI YA NDEGE JIJINI MBEYA
Ajali ya ndege namba 9J-BIO SESINA 206, imetokea leo asubuhi majira ya
saa tatu eneo la Nanenane Uyole jijini Mbeya na abiria wanne
wanusurika kifo na hakuna aliyefariki.
Abiria walionusurika
kifo ni pamoja JVER WAAK Umri wa Miaka 49 ambayealikuwa Rubani, Raia wa
Afrika Kusini, Bwana CHRISTIAN BASIL MMASI umri miaka 30, Ambaye ni
Afisa Utawala wa mashamba ya Kapunga wilaya ya Mbarali, Balozi MOHAMMED
RAMIA kabula leke ni Mmakua mwenye umri wa miaka 64, mkazi wa Masaki
jijini Dar es Salaam ambaye ni mfanyakazi EXPORT TRADING na Bwana SUNNY
TAYIR mwenye umri wa miaka 50 ambaye ni Mhindi na ni mfanyakazi wa
EXPORT TRADING.
Na chanzo cha ajali hiyo akijafahamiaka mpaka sasa.
Imetolewa na Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya Bwana ANACLET MALIMBISA
thanks to
No comments:
Post a Comment