
inasemekana kua kaka chriss brown mtaalamu wa skendo alikua club moja hivi uko jijini miami akila bata la nguvu na kaka Tyga...kutoka na repoti za polisi inasemekana mwana dada huyo Christal Shanae Spann aliwaona chriss brown pamoja na tyga wakiwa ndani ya Cameo nightclub ndipo alipoamua kuwasubilia njee wakitoka ili apatekupiga nao pic.polisi waliendelea kwakusema kua mwanadada huyo alipo muona kaka chriss na kaka tyga wametoka club ndipo alipo wakimbilia na kuwapiga picha hapo ndipo alipomuuzi kaka chriss akaamua kushuka kwenye gali aina ya Bentley nakumpola dada huyo simu nakumwambia kua (huto ipeleka hii picha katika mtandandao wowote wakijami)..kaka chriss b akapanda gali nakusepa.ssssshhhaaaaaaa....sasa dada Christal Shanae Spann kaenda polisi anataka simu yake ya thamani kiasi cha $500 iPhone.
SASA kwashelia za jijini Florida kwakitendo alicho kifanya kaka chriss anaweza kufungwa kifungo cha myaka mitano jela.
No comments:
Post a Comment