
Hii ni show ya kijanja mpya kabisa inakwenda kwa jina la 5Selekt Supa Dupa hurushwa kila siku za Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa tisa kamili mpaka kumi na moja Jioni EATV Pekee hapo unakutana na Tbway na Baby Drama Faiza wakikupa mastori na burudani za kutosha bila kusahau wageni ambao pia huwa kivutia kwa watazamaji.



MORACKA AFUNGUA STUDIO YAKE MPYA YA MUZIKI!!
anayefahamika kwa jina la Moracka amefungua studio yake mpya ya kurekodi muziki aliyoipa jina la MyRecords iliyopo maeneo ya Sinza itakayokuwa chini ya Producer mkali Bob Chidy.
Moracka amefunguka kuwa studio hiyo yenye takribani wiki mbili tu imeshatoa ngoma mbili zinazotamba za wasanii walio kwenye tasnia ya bongo Movie na sasa kugeukia muziki akiwemo Flora Mvungi Sinaga na Together Crew ambapo pia anaendelea kusainisha mkataba wasanii ambao watakuwa chini ya lebo yake na mpaka sasa wasanii sita wameshaingia mkataba na lebo yake.

Tbway akiwa na Erick ambaye ni fan wa 5selekt aliyepata nafasi ya kualikwa studio na Moracka
No comments:
Post a Comment