TBWAY360
To ma pipo
I made this
widget
at
MyFlashFetish.com
.
Search This Blog
Tuesday, May 15, 2012
ALLAN LUCKY NA TAMASHA LA ‘INTER -SCHOOLS’ WAFUNIKA.
Pichani Juu na Chini ni wanafunzi wa mashule mbalimbali wakionyesha ufundi kuwa ku-dance wakati wa tamasha lililopewa jina la ‘Inter-School Concert’.
“Akudundu-kudundu-kudundu- Alajhi-Alajhi”.
“Yeyoooooo” baadhi ya wanafunzi waliohudhuria tamasha hilo wakikubali kilichokuwa kikifanyika jukwaani.
Mshereheshaji wa tamasha hilo ‘MC T-Bway 360 akimtambulisha Mhariri wa mtandao unaoaminika wa habari hapa nchini MO BLOG kwa ajili ya kukabidhi zawadi za T-Shirt zenye chata ya mtandao huo ambao ulikuwa ni moja ya wadau waliosaidia kufanikisha tamasha hilo.
Mhariri wa MO BLOG akitoa changamoto kwa wanafunzi walioshiriki tamasha la ‘Inter-School Concert lililofanyika katika ukumbi wa Shule ya Kimataifa ya ESACS.
Wanafunzi walioshinda katika ku-shake-shake kwenye tamasha hilo waki-shine na T-Shirt za MO BLOG.
Moja ya uchezaji wa muziki inayojulikana kama ‘Dogue Style’.
‘Wacko Jacko is Still Alive’.
‘Duh…pamoja na masomo hizi pia twazijua’
Wasanii wa Bongo Flava Country Boy (kulia) na Stamina wakitoa Burudani kwa wanafunzi.
Mratibu wa tamasha la Inter-Schools lililopewa jina la Friends 4 Friends lililobamba katika Viwanja vya shule ya kimataifa ya Esacs iliyopo Mbezi (kulia) aki-show love na wana MO BLOG, Zainul mzige (kulia) na Lemmy Hipolite.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment