![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjgmuUHfeKLM2JALgEFvcSGPhhOwS21c1NXPYIl_3Ef8xSu7IHxoOizEcH2RlXHj-0cmlkm5Vk2MJ1xD_qibvtWTCJgf35TMhd3IWFhDEx5wZqpjnDZ3slxXu3lZR8fmZ75_z3ZjuA50wS6/s400/pennyl+Mungilw.jpg)
Mwanadada Pennyl Mungilwa kutoka Channel 10 katika kipindi cha Extreem leo anakumbuka siku yake yakuzaliwa. Mungu akupe maisha marefu na yenye raha teleeeeeeeeeee, wala usikubali usichoke kwa kile kitu unachokitafuta hapa duniani ili uyafikie malengo yako.
No comments:
Post a Comment