Haya ndoo maneno kidogo kutoka kwa DJ CHOKA...LEO tarehe 9 natarajia kuondoka asubuhi na mapema kuelekea masomoni NAIROBI kwa mda wa mwezi mmoja tu...so katika kipindi hiki cha ramadhani nimeamua kwenda kuongeza kitu fulani katika kichwa changu.
Naomba radhi kwenu kwamba blog itakuwa kimya kwa mwezi mmoja, ili niwe siriaz na book kidogo ndugu zangu.
NAWAPENDA WOTE NA ASANTENI KWA KUNISOMA.
ONE..
No comments:
Post a Comment