MWISHONI MWAWEEKEND YANGU NIMEKUTANANA KITU KAMA HIKIHAPA...JE WEWE?
Inasemekana kua huyu jama alizianza toka ijumaa akadai kua yeye ninoma na pia anaweza kumiliki pombe za kila aina pasipokuzima...haha haha hayawi hayawi yamekua kidume kazima toka ijumaa mpaka leo pasipo kujigeuza,...ilala bado yuko hai...
No comments:
Post a Comment