To ma pipo


I made this widget at MyFlashFetish.com.

Search This Blog

Tuesday, August 3, 2010

Wyclef Jean: Anatangaza nia yakugombea nafasi ya uraisi Haiti.


kutokana na CNN, Jean anatarajia kutangaza kwenye kipindi cha "Larry King Live" aliamisi kua yaya ndie raisi mtarajiwa wa haiti. aliiambia CNN mwezi uliopita kua amejaza fomu zinazo mruhusu kugombe nafasi hio
Jean, ajulikanae kama kikongwe wa muziki toka myaka ya-1990s kama member wa kikundi cha hip-hop kijulikanacho kwa jina la The Fugees, kalia machozi makali juu ya majanga yalio ikumba nchi yake ya Haiti napia ndie mfani wakwanza kutoa msaada kwa kupitia taasisi yake itwayo yele.

No comments: