To ma pipo


I made this widget at MyFlashFetish.com.

Search This Blog

Tuesday, February 21, 2012

Entertainment News

Dayna kikazi zaidi

Akiwa anafanya vizuri na video ya wimbo wake mpya wa 'Nivute Kwako', mwanamuziki wa kike anayetisha katika anga za muziki wa Bongo Flava Dayna anazidi kujimarisha katika kutoa vibao vipya.

Dayna aka 'Mkali Wao' ameweza kutoa nyimbo kadhaa zikiwemo Mafungu ya Nyanya, Fimbo ya Mapenzi na hivi sasa amechaguliwa kuingia katika kinyanganyiro cha tuzo za muziki za Tanzania Music Awards.

Dayna amechaguliwa katika categori tatu zikiwemo Mtumbuizaji bora wa kike, mwimbaji bora wa kike na wimbo bora wa Zouk/rhumba wa NIVUTE KWAKO'.

No comments: